Thursday, May 31, 2018

Secretariat ya ajira yatoa tangazo muhimu lisome muda huu

Waombaji kazi watakiwa kuthibitisha nyaraka zao na kuzihuisha kwenye mfumo wa Ajira.

utumishi
Waombaji wa fursa za ajira kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wametakiwa kuthibitisha na kuhuisha nyaraka zao kwa usahihi katika mfumo wa maombi ya kazi ‘Recruitment Portal’ ili kupata nafasi ya kuomba na kuitwa kwenye usaili kulingana na maboresho yaliyofanyika katika mfumo huo.

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Bw. Xavier Daudi amesema hayo wakati akiongea na Waandishi wa Habari ofisini kwake waliotaka kufahamu juu ya maboresho yaliyofanyika katika Mfumo huo wa maombi ya kazi unaopatikana kwa anuani yaportal.ajira.go.tz

Daudi amesema kuwa Ofisi yake ilimepewa dhamana ya kutafuta rasilimaliwatu katika Utumishi wa Umma imekuwa ikitumia kila njia kuhakikisha Serikali inapata Watumishi wenye sifa, weledi na maadili mema huku ikihakikisha wadau wake wanapata huduma bora kulingana na wakati.

“Kama mnavyofahamu kumekuwa na mabadiliko makubwa ya kimaendeleo duniani hususan matumizi ya teknolojia, ili kuweza kuendana na kasi hiyo Utumishi wa Umma nchini umekuwa ukifanyiwa maboresho ya mara kwa mara kuanzia miaka 1990 kwa lengo la kukidhi matarajio ya wadau, ikiwemo utoaji wa huduma bora kwa wakati, sisi kama watendaji wenye dhamana ya kuendesha mchakato wa Ajira serikalini tumekuwa tukiboresha mifumo yetu ya kiutendaji ikiwemo matumizi makubwa kupitia teknolojia ya habari na mawasiliano” alieleza Daudi.

Alifafanua kuwa matumizi ya TEHAMA katika Ofisi hiyo imewasaidia kuwafikia wadau wengi ndani na nje ya nchi kwa muda mfupi, Mfano, hivi sasa mwombaji kazi aliyejisajili katika mfumo wao anaweza kupata taarifa ya uwepo wa nafasi ya kazi, kuitwa kwenye usaili au kupata taarifa ya hatua mchakato ulikofikia kwa ujumbe mfupi kwenye simu yake ya kiganjani au kupitia barua pepe kulingana na njia aliyochagua mdau huyo.

Ameongeza kuwa Sekretarieti ya Ajira imejipanga ndani ya kipindi kifupi kuanzia sasa kuendesha usaili kupitia “video conference”, mfano Wajumbe wa jopo la usaili wanaweza kuwa Dodoma na Msailiwa akawa Zanzibar ambapo sio lazima msailiwa aende Dodoma kwa ajili ya usaili bali anaweza kufanyiwa usaili hukohuko Zanzibar kwa kutumia mtandao wa ‘Internet’.

“Mtaweza kuona tumefikia hatua ya kutaka kuendesha saili kupitia (Video Conference) kutokana na Serikali yetu ilivyoweza kuhakikisha karibu kila eneo katika nchi yetu linakuwa na miundombinu ya mawasiliano, hivyo na taasisi yetu inaona ni wakati muafaka kuendelea kutumia mbinu za kisasa ili kuweza kupima uwezo wa msailiwa badala ya kutegemea vyeti peke yake ikiwa pia ni sehemu ya kusogeza huduma karibu na wadau kwa lengo la kuwapunguzia gharama waombaji kazi”.

Kwa upande wake, Naibu Katibu wa Kitengo cha TEHAMA katika Sekretarieti ya Ajira Mhandisi Samwel Tanguye alibainisha kuwa mfumo wa maombi ya kazi ‘Recruitment Portal’ umefanyiwa maboresho katika maeneo matatu ambayo ni eneo la taarifa binafsi, taarifa za anuani na taarifa za kielimu.

Aliongeza kuwa waombaji wa fursa za Ajira wanapaswa kuzingatia kuwa endapo wataingiza taarifa zisizo sahihi mfumo utawazuia kuomba kazi wanayoitaka kwa kuwa maboresho hayo yaliyofanyika yamesababisha mfumo kufanya yafuatayo. Mfumo haumruhusu mwombaji kazi mwenye elimu ngazi ya astashahada kuomba kazi ambazo zinawahusu wenye shahada. Vivyo hivyo, mwenye shahada hawezi kuomba kazi zinazowahusu wenye stashahada. Pia, Mfumo una uwezo wa kuwachuja waombaji kazi kulingana na sifa za msingi zilizotolewa katika tangazo. Mfano, endapo moja ya sifa ni umri ama uzoefu, mfumo utawaruhusu wale wenye sifa stahiki.

Pia, endapo tangazo linahusu “professionals”, basi wasio na “professional” hiyo hawataweza kuomba. Mfano, kama tangazo linawataka wahasibu wenye CPA, basi wale wote ambao hawana CPA hawataweza kuomba kazi hiyo.

Mhandisi Tanguye amebainisha kuwa, hivi sasa Mfumo unaweza kumruhusu mwombaji kazi ambaye amepoteza vyeti vyake na hakuwa na nakala za vyeti husika kuomba nafasi za Ajira pasipo usumbufu. Kinachotakiwa kufanya baada ya upotevu wa cheti/vyeti husika ni kutoa taarifa Baraza la Mitihani na Sekretarieti ya Ajira kupata uthibitisho wa elimu yake kutoka taasisi husika (NECTA na Vyuo vingine.

Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma 30 Mei, 2018 Orinal post from http://www.ajira.go.tz/index.php/news/view/149

App nyingine muhimu iweke kwenye simu yako muda huu ubahatike zawaidi:Sponsored

Habari za jioni, nakutambulisha App mpya muhimu ambayo unashauriwa ukiweke kwenye simu yako. App ya mapenzi. Iweke kwenye simu yako bonyeza hapa https://bit.ly/2GzFgIK
App ya mapenzi


App hii itakuondolea stress za maisha, App hii itakufundisha kujiweka vizuri katika maisha, Hakuna faida ya kuwa na kazi nzuri mshahara mzuri kama maisha yako si maisha bora, ndoa yako inakusumbua, Weka app hii muda huu uanze kujifunza mambo ya msingi ambayo hujawahi kujifunza au kuyapata sehemu nyingine yoyote. Bonyeza link hii https://bit.ly/2GzFgIK

App hiyo pia inatoa zawadi za vocha kama app ya Aira na app ya ufugaji. Endelea kutumia app zinazokujali. Huwezi kujutia kwa kutumia hizi hasa app ya mapenzi toka play store bonyeza hapa

Vocha za simu bure ziwahi muda huu kabla ya wenzio kuziona

Habari ndugu mfuatialiaji wa App ya ajira App pekee inayokujali wewe mtumiaji. Waambie na marafiki uliosoma nao chuo watumie App ya ajira ili wapate kazi kwa haraka zaidi. Kama wewe ni mwanafunzi wa chuo au ni mwanafunzi wa kidato cha sita Hakika endelea kutumia app hii ambayo ni mkombozi kwako Itakusaidia kupata Kazi kwa haraka kwakua unapata taarifa za matangazo ya kazi toka kwenye mitandao yote Tanzania kwa dakika moja tu. Pia app hii hata usipokuwa na data au kifurushi cha internet unaweza kuendelea kusoma makala na matangazo kwenye simu yako.
Zawadi za vocha bure

Tunakukumbusha kama wewe umemaliza chuo kikuu au diproma au certificate na unamiliki kompyuta Unaweza kupata nafasi ya kuandika kwenye blog ambayo inamaudhui unayoyapendelea mfano, Kama wewe unapendelea michezo utapata blog ya kuandika habari za michezo, Kama wewe unapendelea kuelimisha jamii kuhusu maisha utapata blog ya kuandika makala za ujasiriamali na maisha.

Waandishi wa blog za kilimo, ufugaji na blog za kutoa taarifa za matangazo ya kazi watatumia lugha ya kiswahili. Lakini waandishi wa blog tofauti na hizo watatumia Lugha ya Kingereza tu. Malipo ni kwa idadi ya wanaosoma blog unayoandika mfano blog ikisomwa na watu laki moja unalipwa laki moja, Ni juhudi zako kuandika makala nzuri na kusambaza blog yako facebook, twitter na instagram ili kila mwezi upate wasomaji wengi wa blog na ulipwe pesa nzuri kila mwezi. Vuta pumzi kidogo....Zawadi za vocha mtandao wa voda ingiza namba hizi haraka kabla ya wenzio kuziona 418757039916869 Updated Muda huu vocha hizo ameziwahi mwenye namba inayoishia
9565 toka mbezi dar es salam hongera na endelea kutafuta nyingine zipo. Ukiziwahi tuma sms kwenda 0620166904 ukieleza kuwa vocha hizi umeshaziwahi kumbuka kuandika namba za vocha kwenye sms. Onesha ushirikiano ili tuendelee kuweka nyingine nyingi humu ndani. Pia endelea kujisomea habari zote unaweza kuzikuta nyingine. Kama umepewa ujumbe zimeshatumika tambua mwenzi ameshakuwahi. Nawe endelea kujisomea makala na matangazo utakutana na nyingine ubahatike

Makala inaendelea ....Kupata kazi hii andika baura pepe au ujumbeukielezea una kompyuta na unauwezo wa kuandika habari zinazohusu masuala gani Kisha tuma kwenda kwenye email hii mkuublog@gmail.com


Wednesday, May 30, 2018

Wahi fulsa ya uandishi kwenye blog hii

Habari ndugu mfuatiliaji wa App ya ajira. Tunahitaji waandishi wa kuelimisha jinsi ya kufaulu usaili au interview, Kazi kubwa utakuwa unachambua maswali na majibu ya  usaili chanzo kikuu ni mtandao wa Google ambako utakuwa unayapata maswali hayo na majibu pia yapo huko wewe ni kuedit na kutoa somo kwenye app hii ya ajira. Pia utatoa ushauri kwa walioajiriwa kama mfano jinsi ya kufanya kazi kwa ufanisi, Maisha ya kijana na ajira kwa ujumla.
App ya ajira

 Pia tunahitaji waandishi wa kuripoti nafasi za kazi kila zinapotangazwa kwenye mitandao mbalimbali. Utafundishwa jinsi ya kuripoti taarifa za kazi na vyanzo vikuu vya kupata taarifa hizo.

Kama una kompyuta unaweza kufanya kazi hii muda wa ziada au muda wa mapumziko,

Malipo ni kwa idadi ya wanaosoma blog ambayo utapewa kuandika. Mfano blog ikisomwa na watu laki moja unalipwa laki moja. Kiasi cha chini kutumiwa pesa ni ukifikisha sh elfu kumi tu.

Kupata kazi hii ya muda wa ziada tuma ujumbe kwenda kwenye email ya mkuublog@gmail.com Usitume cheti wala CV yako. Mtu yeyote anaweza kufanya kazi hii ilimradi ajue kutumia kompyuta na awe na kompyuta yake nyumbani au ofisini au shuleni, chuoni, n.k

Saturday, November 11, 2017

Muhimu: Update app ya ajira.go.tz.App

Habari ndugu mtumiaji wa app ya Ajira.go.tz.App. Tumeiboresha app hii hivyo hakikisha app unayotumia ina picha hii
Kama app yako uliweka kwenye simu muda mrefu na picha inayoonesha si kama hii basi pakua app mya dakika mbili tu bonyeza hapa kudownload Au link hii https://goo.gl/sG93Zv

Ukishaiweka hii toa ile ya zamani ili usipate notification mara mbili mbili. Ukiweka app hii mpya utafaidika na vitu vifuatavyo. 1. Inafunguka kwa urahisi zaidi kuliko ile ya zamni. 2. taarifa za nafasi za kazi nyingi zaidi kuliko ile ya mwanzo. 3. Ina mwonekano mzuri zaidi. Weka app hii mpya hakikisha app yako unayotumia kwenye simu inaonesha picha hapo juu
Asante kwa kuendelea kutumia app ya ajira.go.tz.app. Tunakutakia mafanikio mema katika utafutaji kazi

Wednesday, November 1, 2017

Muhimu soma kuhusu app ya ajira.go.tz.App

Asante kwa kuendelea kutumia app ya ajira.go.tz.app. Kama uliweka app hii kuanzia mwezi wa tisa kurudi nyuma unatakiwa kuiweka upya yaani update ili upate huduma nzuri zaidi Bonyeza link hii https://goo.gl/GXAUG7

Itadownload Kisha Utabonyeza install ili kuiweka kwenye simu yako. Endelea kutumia ajira.go.tz.app ili upate kazi kwa haraka zaidi.

Tuesday, September 26, 2017

Why people fail to answer interview questions?

Why people fail to answer interview questions? There are many factors that cause people to fail interview questions. As explained here below.
To outline the few of them
-Lack of confidence
-Lack   of preparation
-Delay of information
-Unemployment

Introduction

Every year universities produce thousands of graduates in Tanzania and other countries of Africa. Thousands of these graduates need employment in government sectors and private sectors. In Tanzania we have experienced very serious unemployment. Young graduates are in street searching for jobs. It is normal to hear that there are 10,000 selected candidates to attend interview competing for only 70 job vacancies

In this situation young graduates need to find proper ways that can help them to get their basic needs like food, shelter,clothes, sex and other necessary needs. Every one wants collar jobs or office jobs. This makes big competition in job interview.

Now let us know the factors that cause many graduates to fail their interview chances. as outlined above we start with lack of confidence, Many graduates when they are called for interview they think will I win the interview? do to the large number of people who are selected for that interview  compared to few number of people needed to fill the job vacancies. Example if PSPRS has called 10,000 candidates while the advertised posts was only 70 automatically many candidates will think of failure. Very few genius candidates will thing of wining the interview. The advice is that do not think of failure  you never know, you might be the one who is needed to fill that job vacancies. Answer those questions with confidence as if you are alone no one else is competing with you in that job vacancies

The second factor why people fail the interview is lack of preparation. Many graduates think there is no need to get prepared for interview. They think questions that are asked are not questions that can be revised. This is wrong! You need to make good preparation before you enter the room of interview. You can get all interview materials  online by searching appropriate questions and answers for interview that relate to  your job vacancies advertised. The good day to start preparation is when you get an alert that you are selected for interview. Government institutions provide good time of preparation since they inform their selected candidates two weeks before interview date.

The third factor is the delay of information ......To be continued.......

Secretariat ya ajira yatoa tangazo muhimu lisome muda huu

Waombaji kazi watakiwa kuthibitisha nyaraka zao na kuzihuisha kwenye mfumo wa Ajira. utumishi Waombaji wa fursa za ajira kupitia Sekre...