Habari ndugu mfuatiliaji wa App ya ajira. Tunahitaji waandishi wa kuelimisha jinsi ya kufaulu usaili au interview, Kazi kubwa utakuwa unachambua maswali na majibu ya usaili chanzo kikuu ni mtandao wa Google ambako utakuwa unayapata maswali hayo na majibu pia yapo huko wewe ni kuedit na kutoa somo kwenye app hii ya ajira. Pia utatoa ushauri kwa walioajiriwa kama mfano jinsi ya kufanya kazi kwa ufanisi, Maisha ya kijana na ajira kwa ujumla.
App ya ajira |
Pia tunahitaji waandishi wa kuripoti nafasi za kazi kila zinapotangazwa kwenye mitandao mbalimbali. Utafundishwa jinsi ya kuripoti taarifa za kazi na vyanzo vikuu vya kupata taarifa hizo.
Kama una kompyuta unaweza kufanya kazi hii muda wa ziada au muda wa mapumziko,
Malipo ni kwa idadi ya wanaosoma blog ambayo utapewa kuandika. Mfano blog ikisomwa na watu laki moja unalipwa laki moja. Kiasi cha chini kutumiwa pesa ni ukifikisha sh elfu kumi tu.
Kupata kazi hii ya muda wa ziada tuma ujumbe kwenda kwenye email ya mkuublog@gmail.com Usitume cheti wala CV yako. Mtu yeyote anaweza kufanya kazi hii ilimradi ajue kutumia kompyuta na awe na kompyuta yake nyumbani au ofisini au shuleni, chuoni, n.k
EmoticonEmoticon