Habari ndugu mtumiaji wa app ya Ajira.go.tz.App. Tumeiboresha app hii hivyo hakikisha app unayotumia ina picha hii
Kama app yako uliweka kwenye simu muda mrefu na picha inayoonesha si kama hii basi pakua app mya dakika mbili tu bonyeza hapa kudownload Au link hii https://goo.gl/sG93Zv
Ukishaiweka hii toa ile ya zamani ili usipate notification mara mbili mbili. Ukiweka app hii mpya utafaidika na vitu vifuatavyo. 1. Inafunguka kwa urahisi zaidi kuliko ile ya zamni. 2. taarifa za nafasi za kazi nyingi zaidi kuliko ile ya mwanzo. 3. Ina mwonekano mzuri zaidi. Weka app hii mpya hakikisha app yako unayotumia kwenye simu inaonesha picha hapo juu
Asante kwa kuendelea kutumia app ya ajira.go.tz.app. Tunakutakia mafanikio mema katika utafutaji kazi